Siku zote nikiona picha hii hua napata uchungu san, kwakua Steven Ch KANUMBA alikua msada kwangu. yeye ndie mtu wakwanza alie nifunza hatua zangu zakwanza kwenye kundi la sanaa Great Lakes jijini Bujumbura mwaka 2010 kipindi alikuja kupiga show pamoja nadada IRENE.MUNGU ailaze roho ya marehemu mahali pema.
KANUMBA The great sito kusahau kwawema ulionitendea
dimanche 27 mai 2012
mardi 15 mai 2012
SGwambaye the great
Steven Richard GWAMBAYE nampenda sana MUNGU......MUNGU nijalie nipate marafiki wengi wapinzani waniige mimi nisiwaige wao vilevile nisaidie niwe nawivu wamaendeleo sikuzote Amen.
lundi 14 mai 2012
MAGAZETI
RAY THEGREATEST pamoja na KANUMBA THE GREAT walikua wakiishi kama mapacha,je wewe unae sema mambo hayo unaushahidi?SGwambaye the great napinga kitu kama hicho.RAY hawezi kumua KANUMBA.
dimanche 13 mai 2012
Gwambaye pamoja nawasani wa bongo
Gwambaye na Shabiki wake
Sabimana Innocent niswahiba mkubwa ambaye arisaidia SGwambaye the great yeye ni editor
Swahiba amerudi nakazi yake kama m unavyo muona na Camera
Heeee...SGwambaye the great, jamaani kumbe Gasuku anaweza kuishi na watu?uriza SGwambaye the great
Swahiba amerudi nakazi yake kama m unavyo muona na Camera
Heeee...SGwambaye the great, jamaani kumbe Gasuku anaweza kuishi na watu?uriza SGwambaye the great
Inscription à :
Articles (Atom)