dimanche 27 mai 2012

KANUMBA THE GREAT

 Siku zote nikiona picha hii hua napata uchungu san, kwakua Steven Ch KANUMBA alikua msada kwangu. yeye ndie mtu wakwanza alie nifunza hatua zangu zakwanza kwenye kundi la sanaa Great Lakes jijini Bujumbura mwaka 2010 kipindi alikuja kupiga show pamoja nadada IRENE.MUNGU ailaze roho ya marehemu mahali pema.
KANUMBA The great sito kusahau kwawema ulionitendea

Aucun commentaire:

Enregistrer un commentaire